Makafiri Kuhojiwa Maswali Matatu Ndani Ya Kaburi

Jana niliulizwa swali juu ya makafiri kama watahojiwa kwa kuulizwa juu ya Mola wao, Dini yao na Mtume wao. Baada ya kurejea katika baadhi ya vitabu vya Hadiyth, imenibainikia kuwa kafiri pia ataulizwa kuhusu Mola wake, Dini yake na Mtume wake na kwamba na yeye pia atasema “Sijui”. Hivyo kuhojiwa maswali itakuwa kwa Waislamu, wanafiki na makafiri. Wote wataulizwa juu ya maswali haya matatu ambayo yanapitika kwenye kaburi, kuhusu Mola, Dini na Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).