Maamuma Wafanye Nini Anapokosea Imamu?

Swali: Imamu akiswali kwa upungufu akatoa Salaam, maamuma watoe nae Salaam au? Imaam Ibn Baaz: Hapana wasitoe nae Salaam, wamkumbushe kwa kusema "Subhaana Allaah , Subhaana Allaah" Muulijiza: Ikiwa Imamu hakujua hilo, ajitokeze mtu na kumuongelesha? Imaam Ibn Baaz: Hapana akisema tu "Subhaana Allaah" atajua.

Swali:
Imamu akiswali kwa upungufu akatoa Salaam, maamuma watoe nae Salaam au?

Imaam Ibn Baaz:
Hapana wasitoe nae Salaam, wamkumbushe kwa kusema “Subhaana Allaah , Subhaana Allaah”

Muulijiza:
Ikiwa Imamu hakujua hilo, ajitokeze mtu na kumuongelesha?

Imaam Ibn Baaz:
Hapana akisema tu “Subhaana Allaah” atajua.