Lini Msichana Analazimika Kuvaa Kishari´ah?

Wakati msichana anapofikisha miaka saba, analazimika kuvaa Kishari´ah. Mavazi haya haihusiani katika Swalah tu. Wazazi wanatakiwa kuhakikisha wasichana wao wanavaa Hijaab ya kikamilifu wakati wanapofikisha miaka saba na kuvaa kama wanawake wakubwa waliobaleghe.

  • Author: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy. Silsilat-ul-Hudaa wan-Nuur (522)
  • Kitengo: Uncategorized , Familia
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Wednesday 15th, January 2014