“Lau Hata Allaah Angehudhuria Asingepata Kura Zote Hizi”

Dr. Yuusuf Qaradhwaawiy: Enyi ndugu! Kabla ya kuacha sehemu hii, nataka kusema neno kuhusu matukio ya uchaguzi wa Israaiyl. Waarabu walikuwa wameweka matumaini yao yote kwa ushindi wa Barleen, hata hivyo Barleen imeshindwa. Na hili tunaisifia Israaiyl. Twatamani nchi yetu ingekuwa kama nchi hii [Israaiyl]. Kwa ajili ya mjumuiko mdogo wa watu wenyewe ndo wanahukumu [serikali]. Hakuna asilimia 94% au asilimia 95% (ya uchaguzi) tofauti na tunavojua katika miji yetu, asilimia 99% kwa asilimia 100%. Mambo gani haya? Lau hata Allaah Mwenyewe Angehudhuria kwa watu Asingelipata kiasi chote hiki cha kura kwa watu... Huu ni uongo, udanganyifu na hadaa. Tunaikaribisha Israaiyl kwa ilichofanya. Imaam Ibn ´Uthaymiyn: Muulizaji anauliza, kuna mtu ameongelea kuhusu uchaguzi wa nchi moja na akasema kuwa kuna mtu aliepata kura asilimia 99% kwa 100%. Kisha akasema lau Allaah Mwenyewe Angehudhuria kwa watu asingepata kiasi cha kura zote hizi. A´udhubi Allaah. Ni wajibu kwa mtu huyu kutubia. Ni wajibu kwake kutubia na kama hakutubia inatakiwa auawe, kwa kuwa kamfanya kiumbe ni mjuzi (muweza) zaidi kuliko Muumba. Ni wajibu kwake kutubia kwa Allaah. Akitubia Allaah Husamehe makosa ya mja Wake. La sivyo ni wajibu kwa kiongozi wa nchi kumkata shingo yake (na panga).

Dr. Yuusuf Qaradhwaawiy:

Enyi ndugu! Kabla ya kuacha sehemu hii, nataka kusema neno kuhusu matukio ya uchaguzi wa Israaiyl. Waarabu walikuwa wameweka matumaini yao yote kwa ushindi wa Barleen, hata hivyo Barleen imeshindwa. Na hili tunaisifia Israaiyl. Twatamani nchi yetu ingekuwa kama nchi hii [Israaiyl]. Kwa ajili ya mjumuiko mdogo wa watu wenyewe ndo wanahukumu [serikali]. Hakuna asilimia 94% au asilimia 95% (ya uchaguzi) tofauti na tunavojua katika miji yetu, asilimia 99% kwa asilimia 100%. Mambo gani haya? Lau hata Allaah Mwenyewe Angehudhuria kwa watu Asingelipata kiasi chote hiki cha kura kwa watu… Huu ni uongo, udanganyifu na hadaa. Tunaikaribisha Israaiyl kwa ilichofanya.

Imaam Ibn ´Uthaymiyn:

Muulizaji anauliza, kuna mtu ameongelea kuhusu uchaguzi wa nchi moja na akasema kuwa kuna mtu aliepata kura asilimia 99% kwa 100%. Kisha akasema lau Allaah Mwenyewe Angehudhuria kwa watu asingepata kiasi cha kura zote hizi. A´udhubi Allaah. Ni wajibu kwa mtu huyu kutubia. Ni wajibu kwake kutubia na kama hakutubia inatakiwa auawe, kwa kuwa kamfanya kiumbe ni mjuzi (muweza) zaidi kuliko Muumba. Ni wajibu kwake kutubia kwa Allaah. Akitubia Allaah Husamehe makosa ya mja Wake. La sivyo ni wajibu kwa kiongozi wa nchi kumkata shingo yake (na panga).