Lafdhi Ya Talaka Iliyo Wazi

Swali: Ni yapi matamshi ya Talaka iliyo wazi? ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz Aal ash-Shaykh: Ni kule kutamka neno Talaka, kama kusema: "Nimekutaliki". Wanasema wanachuoni lafdhi ya Talaka iliyo wazi ni: "Nimekutaliki". Muulizaji: Talaka inakuwa namna gani, ni lazima kutikisa ulimi au inaweza kutolewa hata ndani ya moyo? ´Allaamah ´Abdu-´Aziyz Aal ash-Shaykh: Hapana. Ni lazima kutikisa ulimi. Ikiwa hukutikisa ulimi wako huzingatiwi kuwa unasoma. Muulizaji: Ni wajibu asikie sauti yangu? ´Allaamah ´Abdu-´Aziyz Aal ash-Shaykh: Wanasema ni kiasi cha mtu mwenyewe kujisikia.

Swali:
Ni yapi matamshi ya Talaka iliyo wazi?

´Allaamah ´Abdul-´Aziyz Aal ash-Shaykh:
Ni kule kutamka neno Talaka, kama kusema: “Nimekutaliki”. Wanasema wanachuoni lafdhi ya Talaka iliyo wazi ni: “Nimekutaliki”.

Muulizaji:
Talaka inakuwa namna gani, ni lazima kutikisa ulimi au inaweza kutolewa hata ndani ya moyo?

´Allaamah ´Abdu-´Aziyz Aal ash-Shaykh:
Hapana. Ni lazima kutikisa ulimi. Ikiwa hukutikisa ulimi wako huzingatiwi kuwa unasoma.

Muulizaji:
Ni wajibu asikie sauti yangu?

´Allaamah ´Abdu-´Aziyz Aal ash-Shaykh:
Wanasema ni kiasi cha mtu mwenyewe kujisikia.


  • Author: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aal ash-Shaykh
  • Kitengo: Uncategorized , Talaka & Eda
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Sunday 27th, October 2013