Kuweka Sanduku La Swadaqah Msikitini

´Allaamah Rabiy´ al-Madkhaliy: Nani kaiweka Msikitini? Yapi makusudio yao kuweka sanduku hii [ndani ya Msikiti]? Muulizaji: Ni kamati. ´Allaamah Rabiy´ al-Madkhaliy: Ni kamati? Muulizaji: Ni kamati ya Msikiti. ´Allaamah Rabiy´ al-Madkhaliy: Je huwa wakiweka sanduku Msikitini daima [kila siku] au ni siku ya Ijumaa tu au lini? Muulizaji: Ni kila siku wanaweka Msikitini. ´Allaamah Rabiy´ al-Madkhaliy: Kila siku? ´Allaamah Rabiy´ al-Madkhaliy: Naona hii ni njia ya Hizbiyyuun, si katika njia ya Ahl-us-Sunnah. Asli ya kuomba omba ni Haramu! Na haijuzu isipokuwa katika hali ya dharurah, Baraka Allaahu fiykum. Asli ya kuomba omba ni Haramu! Na mwenye kukithiri kuomba omba atakuja siku ya Qiyaamah akiwa hana kipande cha uso. Mmefahamu?! Na hii ni njia ya Hizbiyuun, Baraka Allaahu fiykum. Yule mwenye kutaka [... sauti haisikiki vizuri ...] na kuswali mwache aweze kufanya hivyo, ama kumuomba omba hapana!

´Allaamah Rabiy´ al-Madkhaliy:
Nani kaiweka Msikitini? Yapi makusudio yao kuweka sanduku hii [ndani ya Msikiti]?

Muulizaji:
Ni kamati.

´Allaamah Rabiy´ al-Madkhaliy:
Ni kamati?

Muulizaji:
Ni kamati ya Msikiti.

´Allaamah Rabiy´ al-Madkhaliy:
Je huwa wakiweka sanduku Msikitini daima [kila siku] au ni siku ya Ijumaa tu au lini?

Muulizaji:
Ni kila siku wanaweka Msikitini.

´Allaamah Rabiy´ al-Madkhaliy:
Kila siku?

´Allaamah Rabiy´ al-Madkhaliy:
Naona hii ni njia ya Hizbiyyuun, si katika njia ya Ahl-us-Sunnah. Asli ya kuomba omba ni Haramu! Na haijuzu isipokuwa katika hali ya dharurah, Baraka Allaahu fiykum. Asli ya kuomba omba ni Haramu! Na mwenye kukithiri kuomba omba atakuja siku ya Qiyaamah akiwa hana kipande cha uso. Mmefahamu?! Na hii ni njia ya Hizbiyuun, Baraka Allaahu fiykum. Yule mwenye kutaka [… sauti haisikiki vizuri …] na kuswali mwache aweze kufanya hivyo, ama kumuomba omba hapana!