Kuwaita Manaswara Masiyhiyyuun Na Mayahudi Israaiyl

Haitakiwi kuwaita (manaswara) kuwa ni Masiyhiyyuun kama wanavyojiita wenyewe au wajinga wanavyowaita. Sio Masiyhiyyuun. Bali wao ni manaswara kama Alivyowaita Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala). Wala hatusemi Israaiyl, kama wanavyojiita mayahudi. Bali tunasema Banuu Israaiyl na tunasema mayahudi. Allaah Amewaita mayahudi na Banuu Israaiyl. Tusiyabadili maneno kuyatoa mahala pake kama walivyofanya. Inatakiwa kuwaita kwa majina yao sahihi ambayo Allaah Amewaita kwayo. Hawa ni watu ambao wamemzulia Allaah uongo tokea hapo zamani mpaka hivi sasa, na wamemzulia uongo Mtume wa Allaah (´Azza wa Jalla).