Kuwachinjia Mawalii Na Waliomo Ndani Ya Kaburi

´Allaamah al-Waadi´iy: Ama kuwachinjia mawalii [vipenzi vya Allaah] na kwenye makaburi, hii ni Shirki. [Mtume anasema]: “Allaah Amlaani anayechinja kwa ajili ya asiyekuwa Allaah.” Haijuzu kuila. Kama asemavyo Shaykh-ul-Islaam Ibn Taymiyyah: "Kuna makatazo mawili. La kwanza ni kuwa kwanza imechinjiwa asiyekuwa Allaah, la pili haikutajiwa jina la Allaah." Bali huenda imetajiwa jina la Shaytwaan. Hata ikitajiwa jina la Allaah, haikuchinjiwa mwengine isipokuwa Shaytwaan.

´Allaamah al-Waadi´iy:

Ama kuwachinjia mawalii [vipenzi vya Allaah] na kwenye makaburi, hii ni Shirki. [Mtume anasema]:

“Allaah Amlaani anayechinja kwa ajili ya asiyekuwa Allaah.”

Haijuzu kuila. Kama asemavyo Shaykh-ul-Islaam Ibn Taymiyyah:

“Kuna makatazo mawili. La kwanza ni kuwa kwanza imechinjiwa asiyekuwa Allaah, la pili haikutajiwa jina la Allaah.”

Bali huenda imetajiwa jina la Shaytwaan. Hata ikitajiwa jina la Allaah, haikuchinjiwa mwengine isipokuwa Shaytwaan.