Kuwachinjia Mawalii Na Waliomo Ndani Ya Kaburi

Ama kuwachinjia mawalii na kwenye makaburi, hii ni Shirki. “Allaah Amemlaani anayechinja kwa ajili ya asiyekuwa Allaah.” Haijuzu kuila, na wala haijuzu... Kama asemavyo Shaykh-ul-Islaam Ibn Taymiyyah: "Kuna makatazo mawili: 1- Ni kuwa kwanza imechinjiwa asiyekuwa Allaah. 2. Haikutajiwa jina la Allaah." Bali huenda imetajiwa jina la Shaytwaan. Hata ikitajiwa jina la Allaah, haikuchinjiwa mwengine isipokuwa Shaytwaan.

Ama kuwachinjia mawalii na kwenye makaburi, hii ni Shirki.

“Allaah Amemlaani anayechinja kwa ajili ya asiyekuwa Allaah.”

Haijuzu kuila, na wala haijuzu… Kama asemavyo Shaykh-ul-Islaam Ibn Taymiyyah:

“Kuna makatazo mawili:

1- Ni kuwa kwanza imechinjiwa asiyekuwa Allaah.
2. Haikutajiwa jina la Allaah.”

Bali huenda imetajiwa jina la Shaytwaan. Hata ikitajiwa jina la Allaah, haikuchinjiwa mwengine isipokuwa Shaytwaan.