Kutoa Adhaana Baada Ya Kupita Wakati Wake

Na hii ni dalili kuwa mwenye kupitwa na Swalah kwa usingizi ataiswali anapoamka, kama ilivyo katika Riwaayah nyingine: "Mwenye kupitiwa na Swalah kwa usingizi au akasahau, aswali atapoikumbuka; hana kafara zaidi ya hio." Akilala akachukuliwa na usingizi, Sunnah ni yeye kuadhini na kukimu halafu aswali Sunnah ya alfajiri kisha ndo aswali faradhi, kama jinsi angeliiswali wakati wake.

Na hii ni dalili kuwa mwenye kupitwa na Swalah kwa usingizi ataiswali anapoamka, kama ilivyo katika Riwaayah nyingine:

“Mwenye kupitiwa na Swalah kwa usingizi au akasahau, aswali atapoikumbuka; hana kafara zaidi ya hio.”

Akilala akachukuliwa na usingizi, Sunnah ni yeye kuadhini na kukimu halafu aswali Sunnah ya alfajiri kisha ndo aswali faradhi, kama jinsi angeliiswali wakati wake.


  • Author: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz. Mkanda "Sharh Swahiyh al-Bukhaariy"
  • Kitengo: Uncategorized , Adhaana
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Tuesday 14th, January 2014