Kuswali Rakaa Mbili Badala Ya Nne

Na hili ilikuwa wakati wa Swalah ya ´Aswr aliswali Rakaa tano na hawakumkumbusha, wakadhani (Maswahaba) kama wamezidishiwa Swalah kama ilivyokuja katika Hadiyth ya Ibnu Mas´uud (Radhiya Allaahu ´anhumaa), akaambiwa hilo Mtume baada ya Swalah. Hii ni dalili ya kuwa kukumbushwa baada ya kutoa Salaam ikiwa mtu amezidisha, unaelekea Qiblah na kuleta Sijda ya kusahau mara mbili (kisha unatoa Salaam).

  • Author: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz. Mkanda "Sharh Swahiyh al-Bukhaariy"
  • Kitengo: Uncategorized , Fiqh
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Monday 13th, January 2014