Kuswali Na Mbele Kuna Mtu Aliyelala

Na hili ni kama alivyosema mwandishi kuwa inajuzu kuswali na mbele yako kuna mtu ambaye anaswali, hakuna kitu juu ya hilo. Hata kama aliyelala ni mwanamke, kinachodhuru ni kugusana akaswali pembezoni mwako. Kategemea hii kuwa mwanamke hakati (havunji) Swalah na wala si hoja, makosa ni kugusana.

  • Author: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz. Mkanda "Sharh Swahiyh al-Bukhaariy"
  • Kitengo: Uncategorized , Fiqh
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Tuesday 14th, January 2014