Kusema Kwamba Qur-aan Sio Maneno Ya Allaah – Njama Za Kiyahudi

Makusudio ni kwamba, asiyeweza kuongea hastahiki ar-Rubuubiyyah, Uola na al-Uluuhiyyah, Uungu. Kwa kuwa ni mpungufu. Vipi ataweza kuamrisha na kukataza? Vipi ataweza kuyaendesha mambo ilihali haongei? Huku ni kumfanya Allaah (Jalla wa ´Alaa) kuwa hawezi. Allaah (Jalla wa ´Alaa) Anasema: لَّوْ كَانَ الْبَحْرُ مِدَادًا لِّكَلِمَاتِ رَبِّي لَنَفِدَ الْبَحْرُ قَبْلَ أَن تَنفَدَ كَلِمَاتُ رَبِّي “Lau kama bahari ingelikuwa ni wino wa (kuandika) maneno ya Mola wangu.” (al-Kahf:109) وَلَوْ أَنَّمَا فِي الْأَرْضِ مِن شَجَرَةٍ أَقْلَامٌ وَالْبَحْرُ يَمُدُّهُ مِن بَعْدِهِ سَبْعَةُ أَبْحُرٍ مَّا نَفِدَتْ كَلِمَاتُ اللَّـهِ “Na lau kama vile vyote vilivyomo ardhini kati ya miti (ingalikuwa) kalamu, na bahari (ikafanywa wino), ikaongezewa juu yake bahari saba (nyinginezo); yasingelimalizika Maneno ya Allaah.” (Luqmaan:27) Maneno ya Allaah mbayo Anaamrisha kwayo na Anakataza nayo – daima na kila siku – Hayahesabiki na wala mabahari hayawezi kuyaandika na kalamu zilizoko duniani. Jahmiyyah wanasema kwamba Maneno ya Allaah yameumbwa! Huku kuna kumsifu Allaah kutokuwa na uwezo, kwamba haongei, haamrishi na wala hakatazi. Vilevile ndani yake kuna kwamba hii Qur-aan sio Maneno ya Allaah. Pamoja na kuwa Qur-aan ndio msingi wa kwanza katika misingi ya dalili. Ikiwa sio Maneno ya Allaah, vipi basi yatatumiwa kama dalili?! Hizi ni njama za kiyahudi. Kwa kuwa asli ya madhehebu ya Jahmiyyah yamechukuliwa kutoka kwa mayahudi – kama alivyosema Shaykh-ul-Islaam katika kitabu chake “al-Hamawiyyah” kwamba yamechukuliwa kutoka kwa mayahudi. Hili si geni kwa mayahudi - na Allaah Awalaani – ambao wameyabadili na kuyageuza Maneno ya Allaah. Hizi ni njama za kiyahudi ili kuibatilisha Qur-aan ilioko katika mikono ya Waislamu. Haya ni madhehebu machafu. Kwa ajili hii maimamu (wanachuoni) wameandika kwa kuwaraddi na kubatilisha hilo na kuweka wazi kwamba ni ni njama na kampeni. Mwandishi: Imaam Abu Bakr ´Abdullaah bin Daawuud as-Sijistaaniy Chanzo: al-Haaiyyah Mshereheshaji: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan Chanzo: "Sharh al-Haaiyyah", uk. 70-71

Makusudio ni kwamba, asiyeweza kuongea hastahiki ar-Rubuubiyyah, Uola na al-Uluuhiyyah, Uungu. Kwa kuwa ni mpungufu. Vipi ataweza kuamrisha na kukataza? Vipi ataweza kuyaendesha mambo ilihali haongei? Huku ni kumfanya Allaah (Jalla wa ´Alaa) kuwa hawezi. Allaah (Jalla wa ´Alaa) Anasema:

لَّوْ كَانَ الْبَحْرُ مِدَادًا لِّكَلِمَاتِ رَبِّي لَنَفِدَ الْبَحْرُ قَبْلَ أَن تَنفَدَ كَلِمَاتُ رَبِّي
“Lau kama bahari ingelikuwa ni wino wa (kuandika) maneno ya Mola wangu.” (al-Kahf:109)

وَلَوْ أَنَّمَا فِي الْأَرْضِ مِن شَجَرَةٍ أَقْلَامٌ وَالْبَحْرُ يَمُدُّهُ مِن بَعْدِهِ سَبْعَةُ أَبْحُرٍ مَّا نَفِدَتْ كَلِمَاتُ اللَّـهِ
“Na lau kama vile vyote vilivyomo ardhini kati ya miti (ingalikuwa) kalamu, na bahari (ikafanywa wino), ikaongezewa juu yake bahari saba (nyinginezo); yasingelimalizika Maneno ya Allaah.” (Luqmaan:27)

Maneno ya Allaah mbayo Anaamrisha kwayo na Anakataza nayo – daima na kila siku – Hayahesabiki na wala mabahari hayawezi kuyaandika na kalamu zilizoko duniani. Jahmiyyah wanasema kwamba Maneno ya Allaah yameumbwa! Huku kuna kumsifu Allaah kutokuwa na uwezo, kwamba haongei, haamrishi na wala hakatazi. Vilevile ndani yake kuna kwamba hii Qur-aan sio Maneno ya Allaah. Pamoja na kuwa Qur-aan ndio msingi wa kwanza katika misingi ya dalili. Ikiwa sio Maneno ya Allaah, vipi basi yatatumiwa kama dalili?! Hizi ni njama za kiyahudi.

Kwa kuwa asli ya madhehebu ya Jahmiyyah yamechukuliwa kutoka kwa mayahudi – kama alivyosema Shaykh-ul-Islaam katika kitabu chake “al-Hamawiyyah” kwamba yamechukuliwa kutoka kwa mayahudi. Hili si geni kwa mayahudi – na Allaah Awalaani – ambao wameyabadili na kuyageuza Maneno ya Allaah. Hizi ni njama za kiyahudi ili kuibatilisha Qur-aan ilioko katika mikono ya Waislamu. Haya ni madhehebu machafu. Kwa ajili hii maimamu (wanachuoni) wameandika kwa kuwaraddi na kubatilisha hilo na kuweka wazi kwamba ni ni njama na kampeni.

Mwandishi: Imaam Abu Bakr ´Abdullaah bin Daawuud as-Sijistaaniy
Chanzo: al-Haaiyyah
Mshereheshaji: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Chanzo: “Sharh al-Haaiyyah”, uk. 70-71


  • Kitengo: Uncategorized , Jahmiyyah
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Thursday 13th, February 2014