Kuondoka Wakati Imamu Wa Pili Anaposwalisha Tarawiyh

Kutokana na swali alilouliza muulizaji, baadhi ya watu wanasema kuwa wamesimama na Imamu mpaka alipomaliza - wakikusudia Imamu wa kwanza. Tunasema kuwa Imamu wa pili ni naibu wa Imamu wa kwanza. Kwa ajili hii inazingatiwa kuwa ni Swalah moja na sio Swalah mbili. Inazingatiwa kuwa ni Swalah moja kwa maimamu wawili. Yule Imamu wa pili anakuwa ni naibu wa Imamu wa pili. Kwa hivyo, haandikiwi thawabu [za kusimama usiku mzima] isipokuwa yule aliyebaki mpaka akamaliza Imamu wa pili Swalah yake. Mzungumzaji: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn Chanzo: Ahkaam-us-Swiyaam, mkanda wa 02 Toleo la: 09-07-2014 Imefasiriwa na: Wanachuoni.com

Kutokana na swali alilouliza muulizaji, baadhi ya watu wanasema kuwa wamesimama na Imamu mpaka alipomaliza – wakikusudia Imamu wa kwanza. Tunasema kuwa Imamu wa pili ni naibu wa Imamu wa kwanza. Kwa ajili hii inazingatiwa kuwa ni Swalah moja na sio Swalah mbili. Inazingatiwa kuwa ni Swalah moja kwa maimamu wawili. Yule Imamu wa pili anakuwa ni naibu wa Imamu wa pili. Kwa hivyo, haandikiwi thawabu [za kusimama usiku mzima] isipokuwa yule aliyebaki mpaka akamaliza Imamu wa pili Swalah yake.

Mzungumzaji: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Chanzo: Ahkaam-us-Swiyaam, mkanda wa 02
Toleo la: 09-07-2014
Imefasiriwa na: Wanachuoni.com


  • Kitengo: Uncategorized , Fiqh
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Wednesday 9th, July 2014