Kundi La Shaytwaan Lebanon

Tunamuomba Allaah (Jalla wa ´Alaa) Asiwafanye maadui wakaburudika wala kufurahi kwa kasoro yoyote katika nchi yetu wala nchi yoyote ya Waislamu. Ninamuomba Ainusuru haki na watu wake na Aidhalilishe batili na watu wake. Ninamuomba Allaah Aoneshe Uwezo Wake wa ajabu Urusi na nchi zinazowafuata kama nchi ya ki-Raafidhwiy ya Iran, serikali ya ki-Raafidhwiy ya Iraaq na kundi lichafu, najisi na ambalo kwa uongo na batili linajiita kuwa ni Hizbullaah, kundi la Allaah. Kwa hakika ni Hizb-us-Shaytwaan, kundi la Shaytwaan. Ninamuomba Allaah Awaadhibu kwa adhabu ya kudumu. Ninamuomba Allaah Aiponde kila nchi ambayo inataka kutenganisha na kufuta nchi za Kiislamu na Awaadhibu katika maisha haya kwa muda ili wengine waweze kusahau hilo. Mzungumzaji: ´Allaamah Swaalih bin Muhammad al-Luhaydaan Chanzo: http://www.sahab.net/forums/index.php?showtopic=140199 Toleo la: 22-05-2014 Imefasiriwa na: Wanachuoni.com

Tunamuomba Allaah (Jalla wa ´Alaa) Asiwafanye maadui wakaburudika wala kufurahi kwa kasoro yoyote katika nchi yetu wala nchi yoyote ya Waislamu.

Ninamuomba Ainusuru haki na watu wake na Aidhalilishe batili na watu wake.

Ninamuomba Allaah Aoneshe Uwezo Wake wa ajabu Urusi na nchi zinazowafuata kama nchi ya ki-Raafidhwiy ya Iran, serikali ya ki-Raafidhwiy ya Iraaq na kundi lichafu, najisi na ambalo kwa uongo na batili linajiita kuwa ni Hizbullaah, kundi la Allaah. Kwa hakika ni Hizb-us-Shaytwaan, kundi la Shaytwaan. Ninamuomba Allaah Awaadhibu kwa adhabu ya kudumu.

Ninamuomba Allaah Aiponde kila nchi ambayo inataka kutenganisha na kufuta nchi za Kiislamu na Awaadhibu katika maisha haya kwa muda ili wengine waweze kusahau hilo.

Mzungumzaji: ´Allaamah Swaalih bin Muhammad al-Luhaydaan
Chanzo: http://www.sahab.net/forums/index.php?showtopic=140199
Toleo la: 22-05-2014
Imefasiriwa na: Wanachuoni.com


  • Kitengo: Uncategorized , Manhaj
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Thursday 22nd, May 2014