Kumpasua Mwanamke Ambaye Kafariki Na Tumboni Mwake Kuna Mtoto Hai

Swali: Lau mwanamke anakufa na tumboni mwake ana kijusi (mtoto) ambaye yuko hai. Je, inajuzu kwa tabibu kupasua tumbo lake? ´Allaamah Muqbil al-Waadi´iy: Sioni kama kuna makatazo yoyote ya hili, hakuna ubaya In Shaa Allaah kupasua tumbo lake na kumtoa mtoto nje. Muulizaji: Baadhi yao (madaktari) wanawaua. ´Allaamah Muqbil al-Waadi´iy: Kuwaua haijuzu. Haijuzu kumuua mtoto.

Swali:
Lau mwanamke anakufa na tumboni mwake ana kijusi (mtoto) ambaye yuko hai. Je, inajuzu kwa tabibu kupasua tumbo lake?

´Allaamah Muqbil al-Waadi´iy:
Sioni kama kuna makatazo yoyote ya hili, hakuna ubaya In Shaa Allaah kupasua tumbo lake na kumtoa mtoto nje.

Muulizaji:
Baadhi yao (madaktari) wanawaua.

´Allaamah Muqbil al-Waadi´iy:
Kuwaua haijuzu. Haijuzu kumuua mtoto.