Kulia Ndani Ya Swalah

Hakuna ubaya kulia katika Swalah kwa kumuogopa Allaah (Jalla wa ´Alaa). Hakuna ubaya wa hilo kama alivyolia Abu Bakr asw-Swiddiyq, ´Umar na kama ilivyothibiti kwa Mtume kwamba alikuwa akilia katika Swalah (´alayhis-Salaam), ikiwa ni kwa kumuogopa Allaah (Jalla wa ´Alaa).

  • Author: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz. Mkanda "Sharh Swahiyh al-Bukhaariy"
  • Kitengo: Uncategorized , Fiqh
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Tuesday 14th, January 2014