Kulala Wanaume Msikitini

Kulala Msikitini hakuna ubaya kwa hilo, kama jinsi inavyojuzu kukaa I´tikaaf Msikitini, na mwenye kukaa I´tikaaf huwa akilala. Hakuna ubaya kwa hilo. Analala Msikitini kama anavyolala mwenye kukaa I´tikaaf.

  • Author: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz. Mkanda "Sharh Swahiyh al-Bukhaariy"
  • Kitengo: Uncategorized , Fiqh
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Tuesday 14th, January 2014