Kulala Na Mwanamke Ambaye Yuko Katika Hedhi Au Nifasi

Yote haya ni dalili kujuzu kulala na mwenye hedhi na mwenye nifasi [damu ya uzazi] hakuna ubaya kwa hilo. Lililo la haramu ni kufanya jimai. Na bora zaidi [mwanamke] aoge tu. Na kwa hili walikuwa wake za Mtume wakilala naye Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) nao wako katika hedhi, hakuna ubaya kwa hili. Na hakuna ubaya kumkumbatia mwanamke aliye na Swawm. La haramu ni kufanya naye jimai.

  • Author: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz. Mkanda "Sharh Swahiyh al-Bukhaariy"
  • Kitengo: Uncategorized , Fiqh
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Monday 13th, January 2014