Kujenga Makaburini

Haijuzu kujenga makaburini, na katika Hadiyth nyingine. "Hakika waliokuwa kabla yenu, walikuwa wakiyafanya makaburi ya Mitume wao na watu wema kuwa misikiti, ole wenu msifanye hivyo. Hakika mimi nimewakataza hilo." Anasema tena: "Allaah Awalaani mayahudi na manaswara, wameyafanya makaburi ya Mitume wao kuwa Misikiti." Mtu asiswali baina ya makaburi wala kwenye kaburi, bali ni wajibu kuliangamiza. Msikiti ukijengwa sehemu ya makaburi, ni wajibu kuubomoa [msikiti huo]. Ama ikiwa kaburi ndo lilikuja nyuma, ni wajibu kuondoa kaburi hilo.

Haijuzu kujenga makaburini, na katika Hadiyth nyingine.

“Hakika waliokuwa kabla yenu, walikuwa wakiyafanya makaburi ya Mitume wao na watu wema kuwa misikiti, ole wenu msifanye hivyo. Hakika mimi nimewakataza hilo.”

Anasema tena:

“Allaah Awalaani mayahudi na manaswara, wameyafanya makaburi ya Mitume wao kuwa Misikiti.”

Mtu asiswali baina ya makaburi wala kwenye kaburi, bali ni wajibu kuliangamiza. Msikiti ukijengwa sehemu ya makaburi, ni wajibu kuubomoa [msikiti huo]. Ama ikiwa kaburi ndo lilikuja nyuma, ni wajibu kuondoa kaburi hilo.


  • Author: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz. Mkanda "Sharh Swahiyh al-Bukhaariy"
  • Kitengo: Uncategorized , Ghuluu & yanayopelekea katika Shirki
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Tuesday 14th, January 2014