Kufa Kama Unataka

Yahyaa bin 'Awn kasema: "Nilikuwa pamoja na Sahnuun wakati tulipomtembelea Ibn-ul-Qassaar ambaye alikuwa mgonjwa. Sahnuun akamwambia: "Kwa nini una wasiwasi?" Akasema: "Kwa sababu ya kifo na kwa kuwa ninaenda kwa Allaah." Akamwambia: "Je, wewe humuamini Mtume, Siku ya Qiyaamah, hesabu, Pepo, Moto, kwamba Abu Bakr na kisha 'Umar ndio watu bora wa Ummah huu, kwamba Qur-aan ni Maneno ya Allaah na kwamba haikuumbwa, kwamba Allaah Ataonekana Siku ya Qiyaamah, kwamba Amestawaa juu ya ´Arshi na kwamba haitakiwi kuwafanyia uasi watawala hata kama watakuwa madhalimu"? Akasema: "Ndio, wallaahi naamini hayo." Hivyo akasema Sahnuun: "Kufa kama unataka. Kufa kama unataka."

Yahyaa bin ‘Awn kasema:

“Nilikuwa pamoja na Sahnuun wakati tulipomtembelea Ibn-ul-Qassaar ambaye alikuwa mgonjwa. Sahnuun akamwambia: “Kwa nini una wasiwasi?” Akasema: “Kwa sababu ya kifo na kwa kuwa ninaenda kwa Allaah.” Akamwambia: “Je, wewe humuamini Mtume, Siku ya Qiyaamah, hesabu, Pepo, Moto, kwamba Abu Bakr na kisha ‘Umar ndio watu bora wa Ummah huu, kwamba Qur-aan ni Maneno ya Allaah na kwamba haikuumbwa, kwamba Allaah Ataonekana Siku ya Qiyaamah, kwamba Amestawaa juu ya ´Arshi na kwamba haitakiwi kuwafanyia uasi watawala hata kama watakuwa madhalimu”? Akasema: “Ndio, wallaahi naamini hayo.” Hivyo akasema Sahnuun: “Kufa kama unataka. Kufa kama unataka.”


  • Author: Imaam Shams-ud-Diyn adh-Dhahabiy (d. 748). Siyar A´laam-in-Nubalaa’ (12/67)
  • Kitengo: Uncategorized , Salafiyyah
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Tuesday 14th, January 2014