Kuapa Kwa Ahadi, Dini Na Amaanah

Swali: Ipi hukumu ya kuapa kwa kusema: "[Naapa] kwa ahadi ya Allaah"? ´Allaamah al-Fawzaan: Halina asli hili. Mtu anaruhusiwa kuapa kwa Jina la Allaah au Sifa miongoni mwa Sifa Zake. Muulizaji: Vipi pia kuapa kwa kusema: "Naapa kwa Dini"? ´Allaamah al-Fawzaan: Hakuna kuapa kwa Dini wala amaanah n.k. "Mwenye kuapa, aape kwa Allaah au anyamaze."

Swali:
Ipi hukumu ya kuapa kwa kusema:
“[Naapa] kwa ahadi ya Allaah”?

´Allaamah al-Fawzaan:
Halina asli hili. Mtu anaruhusiwa kuapa kwa Jina la Allaah au Sifa miongoni mwa Sifa Zake.

Muulizaji:
Vipi pia kuapa kwa kusema:
“Naapa kwa Dini”?

´Allaamah al-Fawzaan:
Hakuna kuapa kwa Dini wala amaanah n.k.

“Mwenye kuapa, aape kwa Allaah au anyamaze.”