Kuanza Na Kuisha Kwa Takbiyr Ya ´Iyd-ul-Fitwr

Takbiyr inaanza kuanzia ule usiku wa kwanza wa Idi pale ambapo kunatangazwa kuwa Ramadhaan imeisha na kunaanza mwezi wa Shawwaal, hapa ndio Takbiyr inaanza mpaka wakati wa Swalah ya ´Iyd. Muislamu akabiri kila wakati ambapo atapata nafasi na aiseme kwa sauti wakati anapofanya hivo.