Kiasi Cha Zakaat-ul-Fitwr Ya Mchele

Nimepima mchele ambao ndugu X alijaza kwenye mfuko. Ulipima gramu 2100 na nimeona kuwa unaenda sambamba na Swaa´ ya Mtume. Imeandikwa na: Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn 1410-07-27 Mwandishi: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn Chanzo: Majmuu´-ul-Fataawaa (18/276) Toleo la: 27-07-2014 Imefasiriwa na: Wanachuoni.com

Nimepima mchele ambao ndugu X alijaza kwenye mfuko. Ulipima gramu 2100 na nimeona kuwa unaenda sambamba na Swaa´ ya Mtume.

Imeandikwa na:

Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
1410-07-27

Mwandishi: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Chanzo: Majmuu´-ul-Fataawaa (18/276)
Toleo la: 27-07-2014
Imefasiriwa na: Wanachuoni.com


  • Kitengo: Uncategorized , Fiqh
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Sunday 27th, July 2014