Katika Uislamu Hakuna Tamthili Wala Michezo

Michezo hii na tamthili hizi, bila ya kujali ni nani mwenye kuzisimamia, hazisalimiki na uongo, mchanganyiko wa wanawake na wanaume, wanaume wanaowaiga wanawake na vijana wasiokuwa na ndevu au madhambi mengine kama hayo ambayo Waislamu wote wanayajua. Kwa ajili hiyo chukua mafunzo kutoka katika maneno haya, ninawatahadharisha kuchukua kitu katika mambo haya ya uzushi katika Misikiti yenu ikiwa kama mmekusudia kufanya hivyo.

  • Author: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy. Silsilat-ul-Hudaa wan-Nuur (322)
  • Kitengo: Uncategorized , Manhaj
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Sunday 9th, February 2014