Je, Mtu Amsalimie Mwanamke Na Kinyume Chake?

Je, mwanaume amsalimie mwanamke na kinyume chake? Jibu ni hli lifuatalo. Kama mwanamke huyo ni ndugu yake au jirani yake, ni sawa kwake kumsalimia kwa sharti kusiwe ni fitina. Ikiwa mwanaume huyo hamjui na akakutana naye dukani, asimsalimie. Inapelekea katika fitina na kuwa na mawazo mabaya kwake kwa njia ya kwamba ni mwanaume ambaye anasalimiana na wanawake na mfano wa hayo. Hivyo asimsalimie. Asimsalimie hata kama atapita karibu yake wakati mwanamke huyo amekaa kwa kuwa inapelekea katika fitina na kuwa na mawazo mabaya kwake. Kwa ajili hiyo ndio maana unaona jinsi anavoingiwa na khofu na kutokwa na kijasho wakati anapomsalimia huku amekaa. Hapendi hilo.

Je, mwanaume amsalimie mwanamke na kinyume chake? Jibu ni hli lifuatalo. Kama mwanamke huyo ni ndugu yake au jirani yake, ni sawa kwake kumsalimia kwa sharti kusiwe ni fitina.

Ikiwa mwanaume huyo hamjui na akakutana naye dukani, asimsalimie. Inapelekea katika fitina na kuwa na mawazo mabaya kwake kwa njia ya kwamba ni mwanaume ambaye anasalimiana na wanawake na mfano wa hayo. Hivyo asimsalimie. Asimsalimie hata kama atapita karibu yake wakati mwanamke huyo amekaa kwa kuwa inapelekea katika fitina na kuwa na mawazo mabaya kwake. Kwa ajili hiyo ndio maana unaona jinsi anavoingiwa na khofu na kutokwa na kijasho wakati anapomsalimia huku amekaa. Hapendi hilo.


  • Author: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn. Liqaa’ ash-Shahriy (48 A)
  • Kitengo: Uncategorized , Jamii
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Monday 31st, March 2014