Je Kuna Hijrah Ya Kwenda Amerika?

Sisi tunakataza makatazo makubwa kwa Waislamu ambao wanajiita wenyewe kuwa ni Muhaajiruun kwa kuhamia Amerika. Na tunajua anayetumbukia Amerika katika hawa watu ambao wanadai wamefanya Hijrah, lakini wamefanya Hijrah kutoka kwenye mji wa Kiislamu kwenda kwenye mji wa kikafiri. Na wajibu wao Muislamu ilikuwa afanye Hijrah kutoka kwenye mji wa kikafiri kwenda kwenye mji wa Kiislamu. Na tumepata kujua yakini kwamba baadhi ya hawa watu ambao wanadai wamefanya Hijrah kwenda Amerika, wengi miongoni mwa watoto wao wamepotea.