Jamaa´at-ut-Tabliygh Wanafuata Njia Ya Taswawwuf

Ndugu zetu Tabliyghiyyuun - Allaah Atuwafikishe sisi na wao katika usawa - ni watu wamefuata njia nayo si nyingine, bali ni njia ya Taswawwuf katika mambo yao mengi. Wanatilia umuhimu Adhkaar za asubuhi na jioni. Adhkaar za kulala na Adhkaar za kuamka. Adhkaar za kula na Adhkaar za kunywa mpaka mwisho. Lakini kwa masikitiko makubwa hawawapi ufahamu (Fiqh) wale wenye kusuhubiana nao na wala hawastafidi kutoka kwao elimu wala Fiqh. Bali hata wakimuona mtu amekosea hawamwambii umekosea. Badala yake wanasema "Ruwaza njema ni njia yetu katika kulingania."

Ndugu zetu Tabliyghiyyuun – Allaah Atuwafikishe sisi na wao katika usawa – ni watu wamefuata njia nayo si nyingine, bali ni njia ya Taswawwuf katika mambo yao mengi. Wanatilia umuhimu Adhkaar za asubuhi na jioni. Adhkaar za kulala na Adhkaar za kuamka. Adhkaar za kula na Adhkaar za kunywa mpaka mwisho. Lakini kwa masikitiko makubwa hawawapi ufahamu (Fiqh) wale wenye kusuhubiana nao na wala hawastafidi kutoka kwao elimu wala Fiqh. Bali hata wakimuona mtu amekosea hawamwambii umekosea. Badala yake wanasema “Ruwaza njema ni njia yetu katika kulingania.”