ISIS Ndio Warithi Wa Khawaarij Wa Zamani

Inasemekana ya kwamba kila watu wana warithi. Mapote yote yaliyokuwa yakiishi zamani yana warithi leo. Miongoni mwa warithi wa Khawaarij wa zamani leo ni pamoja na ISIS ambao hivi sasa wameasisi mizizi yao Iraaq. Niliandika makala kuhusu wao[1] iliyosomwa na zaidi ya wasomaji 100.000 kwa mwezi mmoja. ------------------ (1) http://www.al-abbaad.com/index.php/articles/125-1435-09-28 Mwandishi: ´Allaamah ´Abdul-Muhsin bin Hamad al-´Abbaad Chanzo: http://www.al-abbaad.com/index.php/articles/127-1435-11-09 Toleo la: 29-10-2014 Imefasiriwa na: Wanachuoni.com

Inasemekana ya kwamba kila watu wana warithi. Mapote yote yaliyokuwa yakiishi zamani yana warithi leo. Miongoni mwa warithi wa Khawaarij wa zamani leo ni pamoja na ISIS ambao hivi sasa wameasisi mizizi yao Iraaq. Niliandika makala kuhusu wao[1] iliyosomwa na zaidi ya wasomaji 100.000 kwa mwezi mmoja.

——————
(1) http://www.al-abbaad.com/index.php/articles/125-1435-09-28

Mwandishi: ´Allaamah ´Abdul-Muhsin bin Hamad al-´Abbaad
Chanzo: http://www.al-abbaad.com/index.php/articles/127-1435-11-09
Toleo la: 29-10-2014
Imefasiriwa na: Wanachuoni.com


  • Kitengo: Uncategorized , Jihaad
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Monday 29th, September 2014