ISIS, an-Nuswrah, al-Qaaidah Na al-Ikhwaan al-Muslimuun Wana Mfumo Mchafu

Tusikilize nasaha na ubainifu uliokuja katika Qur-aan, Sunnah na mfumo wa Salaf kutoka kwa muheshimiwa wetu Shaykh Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan, mwanachama wa kamati ya wanachuoni wakubwa (Kibaar-ul-´Ulamaa) na al-Lajnah ad-Daaimah. Ni mtoto aliye na ari na muwazi kwa Chuo Kikuu chake – Imaam Muhammad bin Su´uud – ambaye kila siku anakuwa na mawasiliano nacho. Leo atakuwa na muhadhara muhimu ambapo fitina zimekuwa na giza na uvumi mwingi unaenea na kuzushwa na walinganizi wanaolingania Motoni. Kwa msaada wa njia mbali mbali na wanaeneza sumu kwenye asali, wanafanya mazuri kuonekana ni mabaya na wanafanya mabaya kuonekana ni mazuri. Wanajengea miungo yao kwa batili, matamanio, utata na taawil ambazo Allaah (´Azza wa Jalla) Ametukataza nazo katika Kitabu Chake na Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) katika Sunnah zake wakati walipotuamrisha kushikamana na watawala wa Waislamu na kuwasikiliza na wawatii katika yasiyokuwa maasi kwa Allaah. Tahadharini! Tahadharini na makundi hayo, mapote na mielekeo na khaswa baada ya matangazo ya kutosha kutoka kwa wizara ya mambo ya ndani ambaye amekataza rai wa nchi hii kujiunga na idara ambazo wamisionari wa batili wanaita kuwa ni “Jihaad”. Maamrisho haya yametolewa na mapitisho maelekezo ya mfalme kupitia nyumba ya ofisi ambayo imebainisha kupiga marufuku kwa makundi ya kigaidi ambayo yamechafua Waislamu na kuwachafulia miji yao na ufisadi. Wamesababisha shari, fitina na maovu tokea miaka mingi na kupanda uathirikaji kwa Waislamu. Watu wote wenye busara wanayajua makundi haya kwa vile yamebainishwa na matangazo ya vyombo vya serikali. Baadhi ya makundi hayo maarufu ni al-Ikhwaan al-Muslimuun, al-Qaaidah, ISIS, an-Nuswrah na mengineyo ambayo yanafuata njia yao mbaya na mfumo wao mchafu, kama jinsi alivyoyasifu ´Allaamah Ahmad Shaakir (Rahimahu Allaah). Mzungumzaji: Shaykh Sulaymaan bin ´Abdillaah Abaal-Khayl Chanzo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/m14350624_01g01.mp3 Imefasiriwa na: Wanachuoni.com Tarehe: 04-05-2014

Tusikilize nasaha na ubainifu uliokuja katika Qur-aan, Sunnah na mfumo wa Salaf kutoka kwa muheshimiwa wetu Shaykh Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan, mwanachama wa kamati ya wanachuoni wakubwa (Kibaar-ul-´Ulamaa) na al-Lajnah ad-Daaimah. Ni mtoto aliye na ari na muwazi kwa Chuo Kikuu chake – Imaam Muhammad bin Su´uud – ambaye kila siku anakuwa na mawasiliano nacho. Leo atakuwa na muhadhara muhimu ambapo fitina zimekuwa na giza na uvumi mwingi unaenea na kuzushwa na walinganizi wanaolingania Motoni. Kwa msaada wa njia mbali mbali na wanaeneza sumu kwenye asali, wanafanya mazuri kuonekana ni mabaya na wanafanya mabaya kuonekana ni mazuri. Wanajengea miungo yao kwa batili, matamanio, utata na taawil ambazo Allaah (´Azza wa Jalla) Ametukataza nazo katika Kitabu Chake na Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) katika Sunnah zake wakati walipotuamrisha kushikamana na watawala wa Waislamu na kuwasikiliza na wawatii katika yasiyokuwa maasi kwa Allaah.

Tahadharini! Tahadharini na makundi hayo, mapote na mielekeo na khaswa baada ya matangazo ya kutosha kutoka kwa wizara ya mambo ya ndani ambaye amekataza rai wa nchi hii kujiunga na idara ambazo wamisionari wa batili wanaita kuwa ni “Jihaad”. Maamrisho haya yametolewa na mapitisho maelekezo ya mfalme kupitia nyumba ya ofisi ambayo imebainisha kupiga marufuku kwa makundi ya kigaidi ambayo yamechafua Waislamu na kuwachafulia miji yao na ufisadi. Wamesababisha shari, fitina na maovu tokea miaka mingi na kupanda uathirikaji kwa Waislamu. Watu wote wenye busara wanayajua makundi haya kwa vile yamebainishwa na matangazo ya vyombo vya serikali.

Baadhi ya makundi hayo maarufu ni al-Ikhwaan al-Muslimuun, al-Qaaidah, ISIS, an-Nuswrah na mengineyo ambayo yanafuata njia yao mbaya na mfumo wao mchafu, kama jinsi alivyoyasifu ´Allaamah Ahmad Shaakir (Rahimahu Allaah).

Mzungumzaji: Shaykh Sulaymaan bin ´Abdillaah Abaal-Khayl
Chanzo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/m14350624_01g01.mp3
Imefasiriwa na: Wanachuoni.com
Tarehe: 04-05-2014


  • Kitengo: Uncategorized , Ikhwaan Muslimuun
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Sunday 4th, May 2014