Inajuzu Kufanya Jimai Usiku Wa Ramadhaan Na Mke Na Kuamka Na Janaba

'Allaamah al-Fawzaan: Mnajua kuwa kufanya jimai kunabatilisha Swawm. Na ni wajibu pia kulipa kafara ikiwa mtu atafanya mchana wa Ramadhaan. Ama kufanya Jimai usiku Mwenye Zimungu karuhusu hilo. فَالآنَ بَاشِرُوهُنَّ وَابْتَغُواْ مَا كَتَبَ اللّهُ لَكُمْ وَكُلُواْ وَاشْرَبُواْ حَتَّى يَتَبَيَّنَ لَكُمُ الْخَيْطُ الأَبْيَضُ مِنَ الْخَيْطِ الأَسْوَدِ مِنَ الْفَجْرِ “Basi sasa changanyikeni nao na takeni aliyokuandikieni Mwenyeezi Mungu. Na kuleni na kunyweni mpaka ubainike kwenu weupe wa alfajiri katika weusi wa usiku.” (02:187) Kufanya Jimai inaruhusu usiku, kama jinsi inaruhusu kula na kunywa. Hadiyth hii inaonyesha kuwa inaruhusu (kufanya Jimai) usiku wote. Mpaka mwisho wa usiku. Utakapomaliza kufanya Jimai mpaka Fajr ikaingia (adhana ya pili) hakuna tatizo. Kwa kuwa bado ilikuwa usiku. Je, miongoni mwa sharti za Swawm mpaka mtu awe twahara? Mwenye hedhi itapokatika damu yake, anuie kufunga hata kamahajajitoharisha. Atajisafisha baadaye. Haya ni masuala muhimu, kufanya Jimai mwisho wake ni mpaka Fajr inapoingia. Jibu ni hapana. Inajuzu kwa mtu kufunge naye yuko na Janaba. Anuie swawm na yeye yuko najanaba. Na mtu anaweza (kuamka) na swam anafunga hata kama yuko na Janaba. Mtu anuie swawm hata kama yuko na Janaba, na sharti ya swamw si lazima mpaka mtu awe Twahara. Ni mambo muhimu. Mtu anaweza kujitwaharisha Baada ya Fajr... Mtume (swala Allaahu 'alayhi wa sallam) Fajr ilikuwa inamkuta naye yuko na Janaba. Anafunga kisha anajitwaharisha baada ya kuingia Fajr kisha anaswali.

‘Allaamah al-Fawzaan:

Mnajua kuwa kufanya jimai kunabatilisha Swawm. Na ni wajibu pia kulipa kafara ikiwa mtu atafanya mchana wa Ramadhaan. Ama kufanya Jimai usiku Mwenye Zimungu karuhusu hilo.

فَالآنَ بَاشِرُوهُنَّ وَابْتَغُواْ مَا كَتَبَ اللّهُ لَكُمْ وَكُلُواْ وَاشْرَبُواْ حَتَّى يَتَبَيَّنَ لَكُمُ الْخَيْطُ الأَبْيَضُ مِنَ الْخَيْطِ الأَسْوَدِ مِنَ الْفَجْرِ
“Basi sasa changanyikeni nao na takeni aliyokuandikieni Mwenyeezi Mungu. Na kuleni na kunyweni mpaka ubainike kwenu weupe wa alfajiri katika weusi wa usiku.” (02:187)

Kufanya Jimai inaruhusu usiku, kama jinsi inaruhusu kula na kunywa. Hadiyth hii inaonyesha kuwa inaruhusu (kufanya Jimai) usiku wote. Mpaka mwisho wa usiku. Utakapomaliza kufanya Jimai mpaka Fajr ikaingia (adhana ya pili) hakuna tatizo. Kwa kuwa bado ilikuwa usiku. Je, miongoni mwa sharti za Swawm mpaka mtu awe twahara? Mwenye hedhi itapokatika damu yake, anuie kufunga hata kamahajajitoharisha. Atajisafisha baadaye. Haya ni masuala muhimu, kufanya Jimai mwisho wake ni mpaka Fajr inapoingia. Jibu ni hapana. Inajuzu kwa mtu kufunge naye yuko na Janaba. Anuie swawm na yeye yuko najanaba. Na mtu anaweza (kuamka) na swam anafunga hata kama yuko na Janaba. Mtu anuie swawm hata kama yuko na Janaba, na sharti ya swamw si lazima mpaka mtu awe Twahara. Ni mambo muhimu. Mtu anaweza kujitwaharisha Baada ya Fajr… Mtume (swala Allaahu ‘alayhi wa sallam) Fajr ilikuwa inamkuta naye yuko na Janaba. Anafunga kisha anajitwaharisha baada ya kuingia Fajr kisha anaswali.