Imamu Wa Msikiti Anadai Kuwa Ameswali Tarawiyh Na Jibriyl

Swali: Imamu wa Msikiti wetu anasema kuwa Jibriyl (´alayhis-Swalaat was-Salaam) ameswali pamoja naye Tarawiyh katika Ramadhaan iliyopita... al-Fawzaan: Ameswali pamoja naye? Muulizaji: Ndio, pamoja na Imamu. al-Fawzaan: Mashaa Allaah! Swali: Je, hili ni katika ukhurafi wa Suufiyyah? Jibu: Huu ni uongo. Huu ni uongo na madai.

Swali: Imamu wa Msikiti wetu anasema kuwa Jibriyl (´alayhis-Swalaat was-Salaam) ameswali pamoja naye Tarawiyh katika Ramadhaan iliyopita…

al-Fawzaan: Ameswali pamoja naye?

Muulizaji: Ndio, pamoja na Imamu.

al-Fawzaan: Mashaa Allaah!

Swali: Je, hili ni katika ukhurafi wa Suufiyyah?

Jibu: Huu ni uongo. Huu ni uongo na madai.