Imaam Ibn ´Uthaymiyn Tabdiy´ Kwa Jamaa´at-ut-Tabliygh Na al-Ikhwaan al-Muslimuun

Kama alivyotueleza ndugu yetu Shaykh Abu ´Umar ´Abdul-´Aziyz al-Khaliyfah wa Ras ambaye ni mwalimu kwenye kitengo cha Tarbiya ya kwamba Shaykh Muhammad bin ´Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) aliwafanyia Tabdiy´ Jamaa´at-ut-Ikhwaan (al-Muslimuun) na Jamaa´at-ut-Tabliygh. Elezeni wengine kama nilivyowaeleza. Semeni ametueleza ´Ubayd al-Jaabiriy, kutoka kwa Shaykh Abu ´Umar ´Abdul-´Aziyz al-Khaliyfah. Alinitajia watu wengine wanaotolea ushahidi juu ya hili. Elezeni wengine na msikhofu, lakini hata hivyo inatakiwa iwe kwa hekima. Hili kila siku tunalikariri kwenu na kwa watu wengine mfano wenu miongoni mwa watu ambao wanazipokea nasaha zetu.