Imaam Ibn ´Uthaymiyn Kuhusu Rabiy´ al-Madkhaliy Ni Salafiy

Swali: Ipi rai yako kwa anayemponda Shaykh Rabiy´ bin Haadiy al-Madkhaliy? Ibn ´Uthaymiyn: Ni kosa hili. Ni kosa. Swali: Unasemaje kuhusiana na Shaykh? Ibn ´Uthaymiyn: Mtu huyu namjua. Ni Salafiy. Swali: Ipi hukumu ya kueneza mikanda ambayo Serikali imekataza, mfano wa mikanda ya baadhi ya Madu´aat ambao wamepigiwa marufuku? Ibn ´Uthaymiyn: Haijuzu. Swali: Haijuzu? Ibn ´Uthaymiyn: Ndio.

Swali: Ipi rai yako kwa anayemponda Shaykh Rabiy´ bin Haadiy al-Madkhaliy?

Ibn ´Uthaymiyn: Ni kosa hili. Ni kosa.

Swali: Unasemaje kuhusiana na Shaykh?

Ibn ´Uthaymiyn: Mtu huyu namjua. Ni Salafiy.

Swali: Ipi hukumu ya kueneza mikanda ambayo Serikali imekataza, mfano wa mikanda ya baadhi ya Madu´aat ambao wamepigiwa marufuku?

Ibn ´Uthaymiyn: Haijuzu.

Swali: Haijuzu?

Ibn ´Uthaymiyn: Ndio.