Imaam Ibn Baaz Kuhusu Shaykh Muhammad Amaan al-Jaamiy Na Shaykh Rabiy´ al-Madkhaliy

Ama kuhusu watu hawa wawili waheshimiwa, Shaykh Muhammad Amaan al-Jaamiy na Shaykh Rabiy´ bin Haadiy al-Madkhaliy, wote wawili ni katika Ahl-us-Sunnah. Ninawajua kwa elimu, wema na ´Aqiydah sahihi. Dr. Muhammad Amaan (Rahimahu Allaah) alifariki usiku wa Alkhamisi tarehe ishirini na saba Sha´abaan mwaka huu. Ninausia kufstafidi na vitabu vyake. Ninamuomba Allaah Awawafikishe watu wote kwa yale Anayoyaridhia, Amsamehe Shaykh Muhammad Amaan aliyefariki na Awaongoze Waislamu wote katika Radhi Zake na wema - hakika Yeye ni Mwenye kusikia na yu karibu.

Ama kuhusu watu hawa wawili waheshimiwa, Shaykh Muhammad Amaan al-Jaamiy na Shaykh Rabiy´ bin Haadiy al-Madkhaliy, wote wawili ni katika Ahl-us-Sunnah. Ninawajua kwa elimu, wema na ´Aqiydah sahihi. Dr. Muhammad Amaan (Rahimahu Allaah) alifariki usiku wa Alkhamisi tarehe ishirini na saba Sha´abaan mwaka huu. Ninausia kufstafidi na vitabu vyake. Ninamuomba Allaah Awawafikishe watu wote kwa yale Anayoyaridhia, Amsamehe Shaykh Muhammad Amaan aliyefariki na Awaongoze Waislamu wote katika Radhi Zake na wema – hakika Yeye ni Mwenye kusikia na yu karibu.