Imaam al-Fawzaan utangulizi wa ar-Radd al-Qawiym dhidi ya al-Khaliyliy

Kwa Jina la Allaah, Mwingi wa rehema, Mwenye kurehemu. Kwa muheshimiwa Shaykh ´Aliy bin Muhammad Naaswir al-Faqiyhiy (Hafidhwahu Allaah). as-Salaam ´alaykum wa Rahmtullaahi wa Barakatuh Wa ba´ad; Nimefikiwa na barua yako ikiwa pamoja na kitabu cha radd kwa huyu Ibaadhwiy Jahmiy Ahmad bin Hamad al-Khaliyliy na kitabu chake kiitwacho "al-Haqq ad-Daamigh" kilichobeba upotevu (aina) tatu: 1- Waumini hawatomuona Mola Wao siku ya Qiyaamah. 2- Qur-aan imeumbwa. 3- Waumini waasi kudumishwa (kuwekwa milele) Motoni. Nimesoma radd yako na kuona kwamba ni yenye kutosheleza katika kuinusuru haki na kuiponda batili na kuradu shubuha (utata) kwa dalili zilizoegemea katika Qur-aan na Sunnah. Allaah Akuzidishie elimu yenye manufaa na amali njema. Ninamshukuru Allaah Aliyekuwafikisha kwa hilo; na ninamuomba Allaah Aijaalie kazi hii katika mizani ya matendo yako mema siku ya Qiyaamah. Ndugu yenu: Swaalih bin Fawzaan bin ´Abdillaah al-Fawzaan 1421-04-25/2000-07-27

Kwa Jina la Allaah, Mwingi wa rehema, Mwenye kurehemu.

Kwa muheshimiwa Shaykh ´Aliy bin Muhammad Naaswir al-Faqiyhiy (Hafidhwahu Allaah).

as-Salaam ´alaykum wa Rahmtullaahi wa Barakatuh

Wa ba´ad;

Nimefikiwa na barua yako ikiwa pamoja na kitabu cha radd kwa huyu Ibaadhwiy Jahmiy Ahmad bin Hamad al-Khaliyliy na kitabu chake kiitwacho “al-Haqq ad-Daamigh” kilichobeba upotevu (aina) tatu:

1- Waumini hawatomuona Mola Wao siku ya Qiyaamah.
2- Qur-aan imeumbwa.
3- Waumini waasi kudumishwa (kuwekwa milele) Motoni.

Nimesoma radd yako na kuona kwamba ni yenye kutosheleza katika kuinusuru haki na kuiponda batili na kuradu shubuha (utata) kwa dalili zilizoegemea katika Qur-aan na Sunnah. Allaah Akuzidishie elimu yenye manufaa na amali njema.

Ninamshukuru Allaah Aliyekuwafikisha kwa hilo; na ninamuomba Allaah Aijaalie kazi hii katika mizani ya matendo yako mema siku ya Qiyaamah.

Ndugu yenu:
Swaalih bin Fawzaan bin ´Abdillaah al-Fawzaan
1421-04-25/2000-07-27