Imaam al-Fawzaan Kuhusu Shahaadah Kwa Sayyid Qutwub

Katika ukurasa wa 195 na 395 anakariri – Muhammad ´Aliy as-Swaabuuniy – neno “shahidi wa Kiislamu” na anakusudia Sayyid Qutwub (Rahimahu Allaah) wakati anapomnukuu ili kufasiri baadhi ya Aayah. Hii ni kwa kuzingatia ya kwamba haijuzu kumshahidilia shahaadah yeyote midhali hakuna dalili ya hilo katika Maneno ya Allaah na Mtume Wake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Hatumshahidilii Pepo yeyote bila ya dalili. Hata hivyo tunatarajia mema kwa Waislamu ambao wanafanya matendo mazuri na kuchelea kwa Waislamu wanaotenda madhambi. Mzungumzaji: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan Chanzo: al-Bayaan li Akhtwaa’ Ba´dhw-il-Kuttaab, uk. 64 Toleo la: 05-07-2014 Imefasiriwa na: Wanachuoni.com

Katika ukurasa wa 195 na 395 anakariri – Muhammad ´Aliy as-Swaabuuniy – neno “shahidi wa Kiislamu” na anakusudia Sayyid Qutwub (Rahimahu Allaah) wakati anapomnukuu ili kufasiri baadhi ya Aayah. Hii ni kwa kuzingatia ya kwamba haijuzu kumshahidilia shahaadah yeyote midhali hakuna dalili ya hilo katika Maneno ya Allaah na Mtume Wake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Hatumshahidilii Pepo yeyote bila ya dalili. Hata hivyo tunatarajia mema kwa Waislamu ambao wanafanya matendo mazuri na kuchelea kwa Waislamu wanaotenda madhambi.

Mzungumzaji: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Chanzo: al-Bayaan li Akhtwaa’ Ba´dhw-il-Kuttaab, uk. 64
Toleo la: 05-07-2014
Imefasiriwa na: Wanachuoni.com


  • Kitengo: Uncategorized , as-Swaabuuniy, Muhammad bin ´Aliy
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Saturday 5th, July 2014