Imaam al-Albaaniy na Ibn ´Uthaymiyn Kuhusu Wahdat-ul-Wujuud Ya Sayyid Qutwub

Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy (Rahimahu Allaah) amesema kuhusu Sayyid Qutwub: "Ndiyo, ametamka baadhi ya kauli za Suufiyyah. Kitu pekee ambacho mtu anaweza kuelewa kutoka katika hayo, ni kwamba anaongea kwa mujibu wa Wahdat-ul-Wujuud." [1] Imaam Muhammad bin Swaalih bin 'Uthaymîn (Rahimahu Allaah) amesema vivyo hivyo kuhusu Sayyid Qutwub: "Nimesoma tafsiri yake katika Suurah "al-Ikhlaasw." Anakuja na maneno makubwa ambayo yanakwenda kinyume na Manhaj ya Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah, kwa sababu tafsiri yake inaonesha ya kuwa anaongea kwa mujibu wa Wahdat-ul-Wujuud." [2] -------------------------- (1) Kutoka kwenda mkanda "Mafaahiym yajib ´an nusahhih". (2) Kutoka kwenye gazeti "al-Daawah", #1591, Muharram, 1418. Kisha Shaykh (Rahimahu Allaah) akapiga chini muhuri (saini) wake karibu 1421.

Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy (Rahimahu Allaah) amesema kuhusu Sayyid Qutwub:

“Ndiyo, ametamka baadhi ya kauli za Suufiyyah. Kitu pekee ambacho mtu anaweza kuelewa kutoka katika hayo, ni kwamba anaongea kwa mujibu wa Wahdat-ul-Wujuud.” [1]

Imaam Muhammad bin Swaalih bin ‘Uthaymîn (Rahimahu Allaah) amesema vivyo hivyo kuhusu Sayyid Qutwub:

“Nimesoma tafsiri yake katika Suurah “al-Ikhlaasw.” Anakuja na maneno makubwa ambayo yanakwenda kinyume na Manhaj ya Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah, kwa sababu tafsiri yake inaonesha ya kuwa anaongea kwa mujibu wa Wahdat-ul-Wujuud.” [2]

————————–
(1) Kutoka kwenda mkanda “Mafaahiym yajib ´an nusahhih”.
(2) Kutoka kwenye gazeti “al-Daawah”, #1591, Muharram, 1418. Kisha Shaykh (Rahimahu Allaah) akapiga chini muhuri (saini) wake karibu 1421.


  • Author: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy. Mkanda "Mafaahiym yajib ´an nusahhih".
  • Kitengo: Uncategorized , Manhaj
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Tuesday 31st, December 2013