Imaam al-Albaaniy Kuhusu Waislamu Kulazimishwa Kuwapigia Kura Makafiri

Lau Waislamu watalazimishwa kufanya uchaguzi wa mtu mnaswara, sawa wakipenda wasipendi, na [wagombea] wote ni manaswara na ni lazima mmoja ashinde kura, mtu amchague mtu mwenye shari kidogo. Mzungumzaji: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy Chanzo: http://alalbany.net/fatawa_view.php?id=2430 Toleo la: 17-12-2014 Imefasiriwa na: Wanachuoni.com

Lau Waislamu watalazimishwa kufanya uchaguzi wa mtu mnaswara, sawa wakipenda wasipendi, na [wagombea] wote ni manaswara na ni lazima mmoja ashinde kura, mtu amchague mtu mwenye shari kidogo.

Mzungumzaji: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
Chanzo: http://alalbany.net/fatawa_view.php?id=2430
Toleo la: 17-12-2014
Imefasiriwa na: Wanachuoni.com


  • Kitengo: Uncategorized , Kukufurisha na Kuhukumu
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Wednesday 17th, December 2014