Imaam al-Albaaniy Kuhusu Vipodozi Vya Wanawake

Vipodozi vyote ni utamaduni wa kigeni ambao unaingia ndani ya jumla ya Hadiyth: "Yule atakayejifananisha na watu basi yeye ni katika wao." Hatuna katika desturi zetu za Kiislamu, kama warithi walirithi kutoka kwa waliokuwa hapo kale, kitu kinachofanana na vipodozi ambacho mwanamke anaweza kujipamba uso wake isipokuwa wanja na hina mikononi na miguuni. Hili ni jambo linalojulikana kwa wanawake wa Kiislamu.

Vipodozi vyote ni utamaduni wa kigeni ambao unaingia ndani ya jumla ya Hadiyth:

“Yule atakayejifananisha na watu basi yeye ni katika wao.”

Hatuna katika desturi zetu za Kiislamu, kama warithi walirithi kutoka kwa waliokuwa hapo kale, kitu kinachofanana na vipodozi ambacho mwanamke anaweza kujipamba uso wake isipokuwa wanja na hina mikononi na miguuni. Hili ni jambo linalojulikana kwa wanawake wa Kiislamu.


  • Author: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy. Mkanda ”As-ilat-un-Nisaa´'”
  • Kitengo: Uncategorized , Fiqh
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Monday 6th, January 2014