Imaam al-Albaaniy Kuhusu Sayyid Qutwub

"Yote uliyomkosoa Sayyid Qutwub ni haki na ni sawa. Hivyo itambainikia kila msomaji Muislamu ambaye angalau ana utamaduni kidogo wa Uislamu, ya kwamba Sayyid Qutwub hakuwa na elimu yoyote juu ya Uislamu, si katika misingi yake wala matawi yake. Ee ndugu Rabiy´! Allaah Akujaze kheri kwa kuwa umetimiza wajibu huu wa kufafanua na kufichukua ujinga na upotofu wake katika Uislamu."[1] ------------------- (1) Taaliki ya Shaykh (Rahimahu Allaah) kwa kitabu cha Shaykh Rabiy´ “al-´Awaasim mimmaa fiy Kutub Sayyid Qutwub min al-Qawaasim”:

“Yote uliyomkosoa Sayyid Qutwub ni haki na ni sawa. Hivyo itambainikia kila msomaji Muislamu ambaye angalau ana utamaduni kidogo wa Uislamu, ya kwamba Sayyid Qutwub hakuwa na elimu yoyote juu ya Uislamu, si katika misingi yake wala matawi yake. Ee ndugu Rabiy´! Allaah Akujaze kheri kwa kuwa umetimiza wajibu huu wa kufafanua na kufichukua ujinga na upotofu wake katika Uislamu.”[1]

——————-
(1) Taaliki ya Shaykh (Rahimahu Allaah) kwa kitabu cha Shaykh Rabiy´ “al-´Awaasim mimmaa fiy Kutub Sayyid Qutwub min al-Qawaasim”:


  • Author: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Kitengo: Uncategorized , Manhaj
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Wednesday 1st, January 2014