Imaam al-Albaaniy Kuhusu Njia Mbili Za Ujitoleaji Muhanga

Ama kujitoa muhanga, hili linaweza kufanyika kwa njia mbili: 1- Njia ya kwanza ambayo inajuzu, lakini ambayo haipatikani kwa hivi leo kutokana na ninavyoamini, ni mtu kuwavamia maadui ili aweze kupata idadi kubwa iwezekanayo katika maadui wa Allaah. Kujitoa muhanga huku inakuwa chini ya amri ya kiongozi mkubwa anayejua ni nini wanachohitajia Ummah wa Kiislamu katika fidia. Hili linajuzu. 2- Njia ya pili ni mtu kujichukulia maamuzi mikononi mwake na kujitoa muhanga. Hili halijuzu.

Ama kujitoa muhanga, hili linaweza kufanyika kwa njia mbili:

1- Njia ya kwanza ambayo inajuzu, lakini ambayo haipatikani kwa hivi leo kutokana na ninavyoamini, ni mtu kuwavamia maadui ili aweze kupata idadi kubwa iwezekanayo katika maadui wa Allaah. Kujitoa muhanga huku inakuwa chini ya amri ya kiongozi mkubwa anayejua ni nini wanachohitajia Ummah wa Kiislamu katika fidia. Hili linajuzu.

2- Njia ya pili ni mtu kujichukulia maamuzi mikononi mwake na kujitoa muhanga. Hili halijuzu.


  • Author: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy. Silsilat-ul-Hudaa wan-Nuur (273)
  • Kitengo: Uncategorized , Fiqh
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Monday 10th, February 2014