Imaam al-Albaaniy Kuhusu Ndevu Za Usoni Na Shingoni

Muulizaji: Je inajuzu kunyoa ndevu chini ya shingo, kutoa ndevu usoni pamoja na kufupisha ndevu? Jibu: Haijuzu kutoa ndevu usoni. Nywele zinazoota kidevuni ni katika ndevu. Ama kuhusu kutoa ndevu shingoni, inajuzu. Sio katika ndevu. Ama kuhusu kufupisha ndevu, inajuzu tu ikiwa ndevu zimezidi kiganja. Viginevyo haijuzu.

Muulizaji: Je inajuzu kunyoa ndevu chini ya shingo, kutoa ndevu usoni pamoja na kufupisha ndevu?

Jibu: Haijuzu kutoa ndevu usoni. Nywele zinazoota kidevuni ni katika ndevu.

Ama kuhusu kutoa ndevu shingoni, inajuzu. Sio katika ndevu.

Ama kuhusu kufupisha ndevu, inajuzu tu ikiwa ndevu zimezidi kiganja. Viginevyo haijuzu.


  • Author: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy. Silsilat-ul-Hudaa wan-Nuur (495)
  • Kitengo: Uncategorized , Twahara
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Thursday 19th, December 2013