Imaam al-Albaaniy Kuhusu Dansi Ya Mke Mbele Ya Mume Na Wanawake Wengine

Kwa mukhtasari, dansi ya mwanamke kwa mume inajuzu ikiwa itapitika kwa masharti tuliyotaja.[1] Ama kuhusiana na dansi ya mwanamke mbele ya wanawake wengine, hiyo pia ina hali mbili ambazo hivi karibuni nimetokea kuzitaja kuhusu dansi yake mbele ya mume. Ikiwa dansi sio ya kufundisha bali badala yake inahusu kupunga na kuzungusha mikono bila ya kutikisha nyuma (makalio) au mfano wa hayo ambayo yanaleta msisimko au yanaleta utata wa wazi, hivyo hata hiyi pia inajuzu kama mtu ataweza kuita hilo kuwa ni dansi. Ikiwa dansi itakuwa na kitu zaidi ya hayo, itakuwa haijuzu kabisa. ------------- (1) Imaam al-Albaaniy amesema: "Ikiwa dansi ya mke kwa mume ni ya kimaumbile na sio ya kusomewa, kama ilivo mtindo wa sasa, hakuna kitu kinachoharamisha hilo hata kama [mchezo wake] utakuwa unaleta msisimko kwa mume. Hata hivyo ni sharti iwe baina ya mume na mke tu." (al-Aswaalah, #8, uk. 74)

Kwa mukhtasari, dansi ya mwanamke kwa mume inajuzu ikiwa itapitika kwa masharti tuliyotaja.[1]

Ama kuhusiana na dansi ya mwanamke mbele ya wanawake wengine, hiyo pia ina hali mbili ambazo hivi karibuni nimetokea kuzitaja kuhusu dansi yake mbele ya mume. Ikiwa dansi sio ya kufundisha bali badala yake inahusu kupunga na kuzungusha mikono bila ya kutikisha nyuma (makalio) au mfano wa hayo ambayo yanaleta msisimko au yanaleta utata wa wazi, hivyo hata hiyi pia inajuzu kama mtu ataweza kuita hilo kuwa ni dansi. Ikiwa dansi itakuwa na kitu zaidi ya hayo, itakuwa haijuzu kabisa.

————-
(1) Imaam al-Albaaniy amesema:

“Ikiwa dansi ya mke kwa mume ni ya kimaumbile na sio ya kusomewa, kama ilivo mtindo wa sasa, hakuna kitu kinachoharamisha hilo hata kama [mchezo wake] utakuwa unaleta msisimko kwa mume. Hata hivyo ni sharti iwe baina ya mume na mke tu.” (al-Aswaalah, #8, uk. 74)


  • Author: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy. al-Aswaalah #8, uk. 78
  • Kitengo: Uncategorized , Fiqh
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Thursday 16th, January 2014