Imaam Ahmad Kuhusu Kuwafanya Mayahudi Na Manaswara Kuwa Mashahidi Katika Ndoa Au Talaka

415 - Muhammad bin 'Aliy alinieleza: Muhannaa aliniambia: Nilimuuza Ahmad kuhusu mtu mwenye kuoa na akafanya mayahudi wawili au wakristo wawili au majuus (waabudu moto) kuwa mashahidi (juu ya ndoa hiyo). Akasema: "Haijuzu." 'Abdul-Malik al-Maymuuniy kanieleza: Nilisoma kwa Abu 'Abdillaah [Ahmad bin Hanbal]: "Je, inajuzu kuwafanya Ahl-ul-Kitaab kushuhudia ndoa, Talaka au kifo?" Akaniamrisha mimi kuandika yafuatayo: "Sifurahii (sionelei) hilo kutokana na Aayah iliyoteremshwa: وَاسْتَشْهِدُوا شَهِيدَيْنِ مِن رِّجَالِكُمْ "Na mshuhudishe mashahidi wawili wanaume miongoni mwenu." (02:282)

415 – Muhammad bin ‘Aliy alinieleza: Muhannaa aliniambia: Nilimuuza Ahmad kuhusu mtu mwenye kuoa na akafanya mayahudi wawili au wakristo wawili au majuus (waabudu moto) kuwa mashahidi (juu ya ndoa hiyo). Akasema:

“Haijuzu.”

‘Abdul-Malik al-Maymuuniy kanieleza: Nilisoma kwa Abu ‘Abdillaah [Ahmad bin Hanbal]:

“Je, inajuzu kuwafanya Ahl-ul-Kitaab kushuhudia ndoa, Talaka au kifo?” Akaniamrisha mimi kuandika yafuatayo:

“Sifurahii (sionelei) hilo kutokana na Aayah iliyoteremshwa:

وَاسْتَشْهِدُوا شَهِيدَيْنِ مِن رِّجَالِكُمْ
“Na mshuhudishe mashahidi wawili wanaume miongoni mwenu.” (02:282)


  • Author: Imaam Abu Bakr al-Khallaal (d. 311). Ahkaam Ahl-il-Milal, uk. 146
  • Kitengo: Uncategorized , Fiqh
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Thursday 19th, December 2013