Imaam Abu Bakr Kuhusu Madhehebu Ya Jahmiyyah Katika Mikono Ya Allaah (´Azza wa Jalla)

10- Hakika Jahmiyyah wanapinga vilevile Mkono Wake wa kulia Mikono Yake yote miwili (inajulikana) kwa kutoa sana na kuongeza zaidi ------------------------ MAELEZO Jahmiy ni yule anayekuwa katika madhehebu ya Jahm bin Swafwaan ambaye amechukua madhehebu yake kutoka kwa Ja´d bin Dirham. Kauli ya mwandishi (Rahimahu Allaah) “Hakika Jahmiyyah wanapinga vilevile Mkono Wake wa kulia”, wafuasi wa Jahm wanapinga Majina na Sifa za Allaah. Haya ni baadhi tu (ya mambo) katika madhehebu yao machafu. Vinginevyo ni kwamba ana madhehebu ya fedheha katika mambo mengi. Miongoni mwa hayo ni hili la kupinga Majina na Sifa za Allaah. Mwandishi: Imaam Abu Bakr ´Abdullaah bin Abiy Daawuud as-Sijistaaniy Chanzo: al-Haaiyyah Mshereheshaji: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan Chanzo: "Sharh al-Haaiyyah", uk. 91

10- Hakika Jahmiyyah wanapinga vilevile Mkono Wake wa kulia

Mikono Yake yote miwili (inajulikana) kwa kutoa sana na kuongeza zaidi
————————

MAELEZO

Jahmiy ni yule anayekuwa katika madhehebu ya Jahm bin Swafwaan ambaye amechukua madhehebu yake kutoka kwa Ja´d bin Dirham.

Kauli ya mwandishi (Rahimahu Allaah) “Hakika Jahmiyyah wanapinga vilevile Mkono Wake wa kulia”, wafuasi wa Jahm wanapinga Majina na Sifa za Allaah. Haya ni baadhi tu (ya mambo) katika madhehebu yao machafu. Vinginevyo ni kwamba ana madhehebu ya fedheha katika mambo mengi. Miongoni mwa hayo ni hili la kupinga Majina na Sifa za Allaah.

Mwandishi: Imaam Abu Bakr ´Abdullaah bin Abiy Daawuud as-Sijistaaniy
Chanzo: al-Haaiyyah
Mshereheshaji: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Chanzo: “Sharh al-Haaiyyah”, uk. 91


  • Kitengo: Uncategorized , Jahmiyyah
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Saturday 15th, February 2014