Ikiwa Hizbiyyuun Watakwita Katika Mkutano Na Kujitolea

´Allaamah al-Waadi´iy: Hali kadhalika tunachukia Hizbiyyah ambao umewagawanya Waislamu. Na kufarakanisha Jamaa´ah yao. Na tunajua kuwa ni wadanganyifu. Ni wingi ulioje wanadanganya al-Ikhwaan al-Muslimuun? Wanasema ya kwamba wanataka mji wa Kiislamu. Ni mara ngapi nimeshawaambia kwenda kwao kinyume na Uislamu? Bali niliambiwa na baadhi ya ndugu watukufu jinsi walivyochagua mkristo katika jimbo moja la Amerika. Ninachotaka kusema enyi ndugu zangu, tafuteni na msome elimu yenye manufaa. Msipoteze wakati wenu katika mijadala. at-Tirmidhiy kapokea katika "al-Jaamiy´" yake kupitia kwa Abu Umaamah ya kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wasallam) kasema: "Hawakupotea watu baada ya kuongoka isipokuwa walianza kujadili." Kisha akasoma Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) Kauliya Allaah (Ta´ala): مَا ضَرَبُوهُ لَكَ إِلَّا جَدَلًا ۚ بَلْ هُمْ قَوْمٌ خَصِمُونَ "Hawakukupigia (mfano huo wa kulinganisha) isipokuwa tu kutaka kujadili. Bali wao ni watu makhasimu." (43:58) Hivyo, tafuteni elimu yenye manufaa. Na ikiwa al-Ikhwaan al-Muslimuun watawaita katika mkutano waambieni tunamhimidi Allaah ambaye Katukinga kwa yale Aliyowapa mtihani kwayo. Na wakiwaita kujitolea [swadaaqah] waambieni ya kwamba mna mambo tunayojua wapi tutatumia pesa. Hakika kwa pesa hizo wanajenga manyumba makubwa San´aa'. Hali kadhalika watu wa shirika al-Hikmah na al-Ihsaan. Hali kadhalika Suuruuriyyah. Kuweni tahadhari na chungeni sana kwa watu wa makambi wanaofuata madhehebu na Hizbiyuun na badala yake tafuteni elimu yenye manufaa.

´Allaamah al-Waadi´iy:

Hali kadhalika tunachukia Hizbiyyah ambao umewagawanya Waislamu. Na kufarakanisha Jamaa´ah yao. Na tunajua kuwa ni wadanganyifu. Ni wingi ulioje wanadanganya al-Ikhwaan al-Muslimuun? Wanasema ya kwamba wanataka mji wa Kiislamu. Ni mara ngapi nimeshawaambia kwenda kwao kinyume na Uislamu? Bali niliambiwa na baadhi ya ndugu watukufu jinsi walivyochagua mkristo katika jimbo moja la Amerika. Ninachotaka kusema enyi ndugu zangu, tafuteni na msome elimu yenye manufaa. Msipoteze wakati wenu katika mijadala.

at-Tirmidhiy kapokea katika “al-Jaamiy´” yake kupitia kwa Abu Umaamah ya kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wasallam) kasema:

“Hawakupotea watu baada ya kuongoka isipokuwa walianza kujadili.”

Kisha akasoma Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) Kauliya Allaah (Ta´ala):

مَا ضَرَبُوهُ لَكَ إِلَّا جَدَلًا ۚ بَلْ هُمْ قَوْمٌ خَصِمُونَ
“Hawakukupigia (mfano huo wa kulinganisha) isipokuwa tu kutaka kujadili. Bali wao ni watu makhasimu.” (43:58)

Hivyo, tafuteni elimu yenye manufaa. Na ikiwa al-Ikhwaan al-Muslimuun watawaita katika mkutano waambieni tunamhimidi Allaah ambaye Katukinga kwa yale Aliyowapa mtihani kwayo. Na wakiwaita kujitolea [swadaaqah] waambieni ya kwamba mna mambo tunayojua wapi tutatumia pesa. Hakika kwa pesa hizo wanajenga manyumba makubwa San´aa’. Hali kadhalika watu wa shirika al-Hikmah na al-Ihsaan. Hali kadhalika Suuruuriyyah. Kuweni tahadhari na chungeni sana kwa watu wa makambi wanaofuata madhehebu na Hizbiyuun na badala yake tafuteni elimu yenye manufaa.