Ibn-ul-Qayyim Dalili Ya Tano Ya Kuonekana

Dalili Ya Tano: Allaah (´Azza wa Jalla) Anasema: لَهُم مَّا يَشَاؤُونَ فِيهَا وَلَدَيْنَا مَزِيدٌ ”Humo watapata wakitakacho, na kwetu yako ya ziada.” at-Twabaraaniy kasema: "´Aliy bin Abiy Twaalib na Anas bin Maalik wamesema: "Yaani ni kutazama Uso wa Allaah (´Azza wa Jalla).” Limesemwa pia na waliokuja baada yao (Taabi´uun) kama Zayd bin Wahb na wengineo. Mwandishi: Imaam Ibn Qayyim-il-Jawziyyah (d. 751) Chanzo: Haadiyl-Arwaah ilaa Bilaad-il-Afraah, uk. 236

Dalili Ya Tano: Allaah (´Azza wa Jalla) Anasema:

لَهُم مَّا يَشَاؤُونَ فِيهَا وَلَدَيْنَا مَزِيدٌ
”Humo watapata wakitakacho, na kwetu yako ya ziada.”

at-Twabaraaniy kasema:

“´Aliy bin Abiy Twaalib na Anas bin Maalik wamesema:

“Yaani ni kutazama Uso wa Allaah (´Azza wa Jalla).”

Limesemwa pia na waliokuja baada yao (Taabi´uun) kama Zayd bin Wahb na wengineo.

Mwandishi: Imaam Ibn Qayyim-il-Jawziyyah (d. 751)
Chanzo: Haadiyl-Arwaah ilaa Bilaad-il-Afraah, uk. 236


  • Kitengo: Uncategorized , Kuonekana kwa Allaah siku ya Qiyaamah
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Sunday 27th, October 2013