Ibn Taymiyyah Kuhusu Nywele, Pembe Na Mifupa Ya Minyama Najisi

Kwa mujibu wa wanachuoni inaonekana rai ambayo ni sahihi zaidi ni kuwa inajuzu kushona na manyoa ya nguruwe. Baadhi ya wanachuoni, kama wa Maalik na wa Ahmad katika upokezi mmoja, wanasema kuwa (manyoa yake) ni twahara (masafi). Wale wanaosema kuwa ni najisi wanaonelea kutokana na unyevu wake ambao ni vigumu kujikinga nao. Rai sahihi ni kwamba nywele zote ni twahara ikiwa ni pamoja na nywele za mbwa. Nywele zote za mnyama najisi, kuna rai mbili juu yake na (rai) sahihi ni kwamba mifupa yake, pembe, manyoa na mengineyo ni twahara. Mwandishi: Shaykh-ul-Islaam Ahmad bin Taymiyyah Chanzo: Mukhtasar-ul-Fataawaa al-Misriyyah (1/87) Ufupisho: Imaam Badr-ud-Diyn Muhammad bin ´Aliy al-Hanbaliy al-Ba´liy (d. 777)

Kwa mujibu wa wanachuoni inaonekana rai ambayo ni sahihi zaidi ni kuwa inajuzu kushona na manyoa ya nguruwe. Baadhi ya wanachuoni, kama wa Maalik na wa Ahmad katika upokezi mmoja, wanasema kuwa (manyoa yake) ni twahara (masafi). Wale wanaosema kuwa ni najisi wanaonelea kutokana na unyevu wake ambao ni vigumu kujikinga nao.

Rai sahihi ni kwamba nywele zote ni twahara ikiwa ni pamoja na nywele za mbwa. Nywele zote za mnyama najisi, kuna rai mbili juu yake na (rai) sahihi ni kwamba mifupa yake, pembe, manyoa na mengineyo ni twahara.

Mwandishi: Shaykh-ul-Islaam Ahmad bin Taymiyyah
Chanzo: Mukhtasar-ul-Fataawaa al-Misriyyah (1/87)
Ufupisho: Imaam Badr-ud-Diyn Muhammad bin ´Aliy al-Hanbaliy al-Ba´liy (d. 777)


  • Kitengo: Uncategorized , Fiqh
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Thursday 19th, December 2013