Ibn Qudaamah Kuhusu Mwanamke Kusoma Kwa Sauti Ndani Ya Swalah

Wakati ni Swalah za kusoma kwa sauti, atasoma kwa sauti. Hata hivyo kukiwa kuna wanaume, ataacha kusoma kwa sauti isipokuwa tu kama wanaume hao ni Mahram zake. Katika hali hii inajuzu.

Wakati ni Swalah za kusoma kwa sauti, atasoma kwa sauti. Hata hivyo kukiwa kuna wanaume, ataacha kusoma kwa sauti isipokuwa tu kama wanaume hao ni Mahram zake. Katika hali hii inajuzu.

  • Author: Imaam Muwaffaq-ud-Diyn bin Qudaamah al-Maqdisiy (d. 620). al-Mughni´ (3/38)
  • Kitengo: Uncategorized , Fiqh
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Friday 3rd, January 2014